Blinken aeleza hatua ya Hamas kukubali sitisho la mapigano Gaza ni ishara nzuri

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken asema hatua ya Hamas kukubali sitisho la mapigano Gaza ni ishara njema.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari