#voa400 : Biashara ya Utumwa yaendelea kuwa doa kwa historia ya Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Kuhusika kwa kanisa katika biashara ya utumwa jimbo la Rhode Island Marekani.
Wafanyabiashara wa Marekani walihusika katika kulipia safari za meli kuleta watumwa Marekani.
Watumwa walileta ujuzi na uzoefu mbalimbali nchini Marekani.