Baadhi ya watoto, wajawazito na wanao nyonyesha Kenya wakabiliwa na utapiamlo

Your browser doesn’t support HTML5

Mamlaka ya kitaifa ya kudhibiti Ukame nchini Kenya, mwezi Novemba ilisema zaidi ya watoto 900,000 wa umri wa chini ya miaka mitano pamoja na kina mama wajawazito na wanaonyonyesha wapatao 134,000 wanautapiamlo. Takriban watu wanaoteseka kutokana na tatizo hilo wako katika kaunti tatu.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea repoti kamili kuhusu tatizo hilo na nini serikali ya Kenya inafanya kukabiliana na hali hiyo. Endelea kusikiliza...