Algeria imefanikiwa kuingia fainali na itacheza siku ya Ijumaa
AFCON 2019 MISRI : Mashabiki wa Algeria wakifurahia ushindi
Your browser doesn’t support HTML5
Mitaa ya Cairo ilikuwa imefurika mashabiki wa timu ya Algeria wakisheherekea ushindi wao baada ya kuifunga Nigeria 2-1.