Trump asema kwamba Marekani bado ingependa kuichukua Greeland kutokana na sababu za kiusalama.

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.