Wizara ya elimu Kenya imeondoa somo la Hesabu na sayansi kwa wanafunzi wa shule za sekondari kwamba sio lazima kucukua masomo hayo.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.