Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amefanya ziara ya saa kadhaa mjini Mogadishu siku ya Alhamisi, kwa lengo la kuimarisha makubaliano dhaifu ya maridhiano kati ya nchi hizo mbili kufuatia ugomvi juu ya ushirikiano wake na jimbo lililojitenga la Somaliland.