Tunamulika umuhimu wa utunzaji afya ya moyo
Your browser doesn’t support HTML5
Magonjwa ya moyo yanaongoza katika sababu kuu za vifo duniani kote kama ilivyoripotiwa na Shirika la Afya Duniani-WHO. Takribani asilimia 32 ya vifo duniani katika mwaka 2019 vilitokana na magonjwa ya moyo.