Swahilipot Hub ya Mombasa nchini Kenya inaelezea changamoto katika uhamasishaji na ufundishaji wa lugha ya Kiswahili kung'ara kimataifa.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.