Utawala wa Trump waendelea kueleza sababu za kuweka ushuru

Your browser doesn’t support HTML5

Utawala wa Trump umeendelea kueleza sababu na haja ya kuweka ushuru kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka Canada, China na Mexico.

Asilimia 75 ya vijana walio na umri wa miaka 35 wanakabiliwa na ukosefu wa ajira nxhini Kenya.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari