Vijana katika mji wa Bukavu nchini DRC wanaelezea changamoto za ghafla wanazopitia baada ya kundi la M23 kuingia kwenye mji huo.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.