Tunamulika tatizo la seli zinazokua nje ya kizazi cha mwanamke.
Your browser doesn’t support HTML5
Shirika la Afya Duniani-WHO linasema Endometriosis huathiri wanawake milioni 190 wenye umri wa kuzaa duniani kote. Hali hii inaweza kuanza wakati wa hedhi ya kwanza ya msichana na inadumu hadi ukomo wa hedhi. Inaelezwa uelewa kuhusu Endometriosis bado ni mdogo barani Afrika.