Wasiwasi waongezeka Goma kufuatia mapigano ya vikosi vya serikali na waasi

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya wasiwasi yazidi kutanda Goma, DRC, kufuatia vita kati ya vikosi vya serikali na kikundi cha waasi wa M23.

... mamia wakimbia kutafuta usalama wao kwengineko.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari