Mwanaharakati wa ukeketaji Tanzania anasema kuna mafanikio makubwa katika utoaji elimu kwa jamii ili kuzuia ukeketaji nchini humo.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.