Super Bowl ya 59 Marekani itachezwa Februari tisa na mafahari wawili wa timu ya Kansas City Chiefs na Philadelphia Eagles huko New Orleans.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.