Vijana huko mashariki mwa DRC wanaelezea hali ya mapigano katika eneo na namna inavyoathiri shughuli zao za kila siku za kuleta maendeleo.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.