Hospitali za umma na za kibinafsi nchini Kenya zina uhaba mkubwa wa dawa za HIV huku maafisa wa afya wanauita mgogoro usio wa kawaida.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.