Masuala yanayoangaziwa kwa Meza ya waandishi ni hotuba ya mwisho ya Rais Biden, na shinikizo linaongezeka kwa Jaji Mkuu wa Kenya ajiuzulu.
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.