Shabani Mukere akiwa mji wa Busia anaeleza umuhimu wa vijana Afrika mashariki kujitolea katika zoezi la kuchangia damu pale inapohitajika.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.