Mmoja wa wanafunzi jijini Nairobi anaelezea mgomo wa wahadhiri katika chuo kikuu cha ufundi Kenya (TUK) unavyowapa changamoto wanafunzi hao.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.