Mmoja wa vijana wa DRC anaelezea maandamano yanayofanyika mashariki mwa nchi namna yanavyowaathiri vijana kiuchumi na kisiasa.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.