Tunamulika athari za kunywa pombe kupita kiasi wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Your browser doesn’t support HTML5
Huu ni msimu wa sherehe za mwisho wa mwaka ambazo zinaambatana na safari kutoka eneo moja Kwenda jingine. Lakini jambo muhimu ni kuangalia afya zetu, ikijumuisha mlo, vinywaji baridi na pombe tunazokunywa kwa wakati huo tunapojumuika na wapendwa wetu, wana familia, na marafiki.