Upinzani Burundi unasema tume ya uchaguzi nchini humo imekiuka katiba kwa kuwazuia wapinzani kutoshiriki uchaguzi ujao wa mwezi June.

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.