Wakaazi wa Afrika mashariki wanaelezea changamoto za kimaisha zilizokuwepo mwaka 2024 ikijumuisha migogoro ya kisiasa na kiuchumi.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.