Mdau wa masuala ya utalii kutoka Zanzibar, Edwin George anaelezea sekta hiyo ulivyoimarika na kufungua fursa za ajira kwa vijana.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.