Mmoja wa wazazi huko Tanzania anatoa maoni yake kufuatia tabia ya baadhi ya wazazi kuwaacha watoto peke yao majumbani au maeneo ya michezo.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.