Serikali ya kenya inasema imepata ufadhili wa shilingi bilioni 12 kutoka Benki ya maendeleo ya Afrika kuwezesha usambazaji wa umeme.
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.