Mwanaharakati wa vijana Abdulkarim kutoka Kenya anaeleza umuhimu wa vijana kuhamasisha siku ya kimataifa ya mshikamano wa kibinadamu.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.