Mtaalamu wa afya Theophil Wangata anaelezea namna jamii inavyopaswa kuzingatia vyakula wanavyokula kila siku hususan wakati wa sikukuu.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.