Vijana takribani 30,000 katika Mkoa wa Tanga nchini Tanzania hawataki kutafuta kazi wala masomo, je hali hii inaashiria nini katika jamii?

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.