Usawa wa kijinsia, Akili Mnemba na usalama ni miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa katika kongamano la wanawake katika Media nchini Senegal.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.