Mwanaharakati wa wanawake wa shirika la Open Talk la Kenya anaelezea elimu wanayotoa kusitisha visa vya ukatili kwa wanawake na wasichana

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.