Vijana wa Afrika mashariki wanatoa maoni mseto kuhusu changamoto kwa vijana kumiliki ardhi katika nchi wanazotoka.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.