Vijana wa Kenya wanatoa maoni kuhusu kuondolewa madarakani kwa Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua baada ya bunge kuidhinisha hatua hiyo.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.