Baraza la Seneti nchini Kenya limepiga kura kumuondoa kwenye wadhifa wake naibu wa rais wa Kenya Rigathi Gachagua

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.