Kijana anazungumzia mchango wao kwa waalim na changamoto zake wakati ambapo Dunia inajiandaa kuadhimisha siku ya waalimu Oktoba 5.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.