Oktoba ni mwezi wa uhamasishaji saratani ya matiti, je vijana wanahamasishwa ipasavyo umuhimu wa kufanya uchunguzi wa mapema wa afya zao?

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.