Israel yaapa kujibu shambulizi la Wahouthi kwa nguvu zote

Your browser doesn’t support HTML5

Israel imeapa kujibu shambulizi la Wahouthi wa Yemen kwa nguvu zote.

Mshukiwa amekamatwa katika kile kinachoonekana kuwa ni jaribio jingine la kumuua Donald Trump.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari