Leo ni siku ya Tafrisi Kimataifa ambayo inaangazia jukumu muhimu la wakalimani na wataalamu wa lugha katika kukuza ushirikiano wa kimataifa
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.