Wanahabari wazungumzia baadhi ya masuala muhimu yaliyojadiliwa kwenye mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York wiki hii.
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.