Shule zaidi ya 14,000 katika nchi 24 za Afrika zimefungwa kutokana na migogoro na ukosefu wa usalama unaoathiri elimu ya mamilioni ya watoto
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.