Papa Francis ametembelea Papua New Guinea na kutoa wito kuhusu rasilimali za asili zitumike kunufaisha jamii nzima nchini humo.
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.