Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inatarajia kupokea shehena ya kwanza ya chanjo dhidi ya MPOX hapo kesho Alhamis.

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.