Michuano ya Olimpic 2024 kwa walemavu imeanza huko Paris nchini Ufaransa ikishirikisha timu kutoka Afrika mashariki.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.