Kijana Franklin ambaye ni mdau katika sekta ya utalii Arusha anaelezea faida na changamoto zilizopo katika sekta ya utalii huko Tanzania.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.