Kesi za MPOX zaidi ya 17,000 zimethibitishwa barani Afrika huku IFRC inasema uhaba wa vifaa vya kufanyia majaribio ya MPOX unachangia pia.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.