Vijana wa YALI 2024 wakiwa mjini Washington wanaelezea ushawishi uliopo kwa kundi la vijana maarufu Gen Z nchini Kenya.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.