Mahakama ya DRC imetoa hukumu ya kifo kwa washtakiwa 26 wanaoshutumiwa kuwa kundi la waasi la M23

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.