Connie Chiume mwigizaji kutoka Afrika kusini ambaye aling'ara katika Black Panther:Wakanda Forever amefariki akiwa na umri wa miaka 72

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.