Watu wasiopungua 32 waliuawa na wengine 63 wamejeruhiwa baada ya wanamgambo wa Al Shabaab kushambulia ufukwe mjini Mogadishu.
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.